mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahaha utani huu
Houston RocketMkuu NBA unashabikia timu gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee*Aliyegundua kuwa Ukiweka mate unaingiza vizur abarikiwe sana*[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] *Lasivyo ingekuwa bado nahangaika kuingiza uzi kwenye sindano hadi mda huu*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha kweli mkuu Mara mia umuangalie yule muhindi mwekunduMguu hauonekani. Yupo anajaribu kujitandika mdori. Mauzauza tupu hakuna jipya kamanda. Nimepoteza MB zangu bure tu. Hizi siwezi kushtaki mahali Tigo wakanirudishia hizi MB zilizopotea bure?
Mkuu niajeSwafi mkuu
Sijambo Moudy za mishemishe?Fragaria hujambo
Safi, mzimaSijambo Moudy za mishemishe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa liver upo updateNinayo tayari mkuu sio vitu vya kupitwa
Aisee jamaa bonge la hacker
😁Ngoja nikamwambie aje apande malaiki kama yoteMwambie aje huku tumuogeshe likes[emoji23]
Utaipata mkuuNirushie pm mkuu nimeisaka sijaipata
SanaAisee jamaa bonge la hacker
Hahahaha mkuu mm nimemaanisha Uzi tuHahahaha, jamaa mbona unatutisha
[emoji2937][emoji2937]Mkuu niaje
Aisee mm nipo LA LakersHouston Rocket
Ugunduzi mzuri sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee
Alaaa kumbe ...I am taking it back🔙Unampa poti shikamoo huyu ni andaeitini bhana
Na jeshi la Tanzania kutoa mafunzo kwa wanajeshi wa IsraeliThe Citizen: 2050 Rais wa Russia aufungia mtandao maarufu wa Jf nchini Russia baada ya kuibua madudu ya rushwa kwenye serikali...
Daily News: 2065 Tanzania yaiwekea vikwazo Iran baada ya kukiuka masharti ya haki za binadamu..
Mwananchi 2080: Tanzania yainyima Marekani msaada wa shilingi za Tanzania trilion 9.6 za kukamilisha ujenzi wa zahanati huko Las Angel