Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sisi tulianza na pazi kids nimekipaga sana na Patrick Nyembela ,Bahati Mgunda wacha niishie hapo identity yangu itajulikana hahahaha

[emoji23][emoji23][emoji23]... Halafu ujue nilikulengesha, nilidhani wewe ni Bahati Mgunda. Basi wewe utakuwa jamaa mmoja alikuwa anaitwa Yassin Msira, huwezi kuwa Gamba Kwa watu wa kutoka pande ile, wale walikuwa wakubwa enzi hizo! [emoji23][emoji23]
 
Nakata rufaa,mh.jaji naomba uifute kesi hii kwani tumepata taarifa A kiiiterijensia kuwa huyu Bashite ataenda kuteka wenzake huko peponi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…