Tena kama anauliza haya maswali wakati wa kunyanduana salaleee ni fiksi tu mwanzo mwisho [emoji16][emoji16][emoji16]Kabisa, ukimbana sana mvulana/ mwanaune mwisho lazima udanganywe
Thenki yuuu [emoji122][emoji122][emoji122]Hahahahaha, sawa brathee nitafikisha ujumbe kwa picha
Mi nimeshaandika will. Nitapigwa kiberiti. Funza hawanipati ng'o !!!Tukumbuke na hili.....View attachment 1085049
ShukraniTukumbuke na hili.....View attachment 1085049
Pongezi kwako mkuuMi nimeshaandika will. Nitapigwa kiberiti. Funza hawanipati ng'o !!!
Ukijifanya mkweli utakufa na ukame nakwambia. Halafu wakati huo huo wanadai kuambiwa ukweli. Ukweli ukiwaambia wanakuona fala. Ni mtihani kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]Kweli tupu, wanawake wa leo bila kumdanganya utabaki mwenyewe ukihesabu wapitao na warudio, kisha wale wenye sifa za uongo wanajitwalia[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ndio maana chama cha wapiga p*li kinazidi kushika kasi.Ukijifanya mkweli utakufa na ukame nakwambia. Halafu wakati huo huo wanadai kuambiwa ukweli. Ukweli ukiwaambia wanakuona fala. Ni mtihani kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimejifunza hili kwa hawa wenzetu. Wanajiandaa mapema sana. Wananunua ploti mapema na wanajua watakapolazwa. Kama unataka kupigwa kiberiti sema. Kama unataka usafirishwe ukazikwe karibu na kaburi la bibi yako sijui wapi sema. Na pesa za kukusafirisha uziweke kwenye akaunti kabisa zibakie huko. Au unanunua bima ya mazishi na wao wanashughulika na kila kitu exactly unavyotaka. Yaani inarahisisha sana mambo...All of us gonna die...sad !!!Pongezi kwako mkuu