Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata klop amemkubali messi jamaa ni genius kwenye soka
 
Nimemwona mzee wa liver ametoka mafichoni.Namwona ana makovu matatuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahahaha mkuu sikuwa mafichoni nipo kama kawaida Jana nilikuwa natoka katavi nakuja Dodoma mkuu hata game sijaoina nategemea Leo niangalie Recorded mm napenda sana soka sijali kufungwa kwetu tumefungwa na timu bora na ipo kwenye ubora zaidi kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…