Nmekusamehe Binti uwe na Amani!
Shukrani 🙏Nmekusamehe Binti uwe na Amani!
mzimaWalyekum salaam, mzima
🤣🤣🤣🤣Nilikuwa Sina mda wa kuchonga chelewa nyingi home najua nyingine nitaongeza shule.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Barcelona wametangaza dau nono na la kushtukiza la pauni milioni 70 ili kumnasa mshambuliaji wa Arsenal Mfaransa Alexandre Lacazette, 27. (Sunday Express)
Huyo mchezaji nimeshangaa Barca wamtake ili iweje sasa? Mbaya zaidi hilo dauHao Sunday Express waongo sana