Astaghafir!i!robbie fowler, lakini hata barcelona wanamwita messi ni mungu wa mpira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itabidi tutume maombi kwa Mods waweke option ya thanks dublicater kwaajili yako ili ukipost kama hivi basi thanks ziwe nyingi nyingi kwenye post moja
SYB aliaga humu kwamba anaenda kwenye majukumu huko nyanda za juu kusini hivyo atarudi tarehe 30
Hahah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana hufai kwa visasi
hapana mkuu, kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia comment zako humu ndani nimefanikiwa kugundua una mapenzi makubwa sana na ishu hizi za programming ndio maana nimeona leo nikuulize.Unataka kunipa kazi Bro? Fanya mambo tutengeneze pesa.
Okay nimekuelewa Bro,hapana mkuu, kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia comment zako humu ndani nimefanikiwa kugundua una mapenzi makubwa sana na ishu hizi za programming ndio maana nimeona leo nikuulize.
maandishi yako ni mtego tosha kwa adui yako kufahamu udhaifu wako labda uwe mjanja sana.
kwa mfano
BAK = anamchukia magufuli na chama chake, ni mpenzi mkubwa sana wa basketball, ni mpenzi wa big booty, anapenda life style za america
moudgulf na myoyambendi = hawatabiriki kama sigara nyota, wanapenda sana utalii wa ndani ndio maana nikasema ni ndugu wawili wasiofahamiana.
numbisa = kila sehemu anaonekana (mtu wa watu), ni ngumu sana kufahamu amespecialize eneo lipi.
damushin = mpira, korean. mfuasi wa buddha 😛 😛 😛
Hata kwenye jiji la Manchester jogoo hilo huwikaebwana weeee kumbe jamaa ni jogooo la catalunya
hachagui mtaa wa kuwika haijalishi ni merseyside
[emoji23][emoji23][emoji23]Linapokuja swala la hayo mambo huwa anajiita mchawi mweusi, hakawii kupanda ndege