Duuu, ZengweKINACHOELEZWA ni kwamba mastaa wa Real Madrid wamegawanyika kuhusu mpango wa timu hiyo kumsajili Paul Pogba wakidai hawakubaliani na tabia ya kiungo huyo Mfaransa.
BAK is included in that study
AminKwa wote watakaojaliwa kufunga mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan nawatakia mfungo mwema na maombi yenu kwa Mwenyezi Mungu yatimie [emoji1431]
Sawa mkuu,ngoja tusubiri hadi mwishoAnakwenda top 4
Jirani mambo magumu sana msimuJirani naona mambo yamekuwa si mambo, pole sana! [emoji1]
Mkuu huku nilipo tunaanza mfungo kesho kutwa ishaalah kwa uwezo wa Allah
Bila Ed Woodword kubadirika tutareta kila aina ya kocha,na mambo yatabaki yaleyaleKutumia pesa ni muhimu sana kwenye usajili
Usajili wetu wa Allison ,na VVD uligharimu lakini umetusaidia sana msimu huu
Mungu mwenyewe anaangalia mnaempa hayo majina ni nani?Mmh msisingizie laana mbona barca mnamuabudu messi na kumpa kila aina ya majina na laana haijawapata