Alhamdulillah.Hakika kwetu ni Neema, baraka na amani wangapi leo walitamani wafike mwenzi huu wa Ramadhani lakini kwa uwezo wa Allah leo hii tumeenda kuwapumzisha katika nyumba zao za milele,wangapi wanao tamani angalau wapate wasaa wa kufunga ila kutokana na maradhi haitowezekana kwao. Mimi na wew kama tumepata Neema ya kuwa na Afya njema tuseme Allahadulah [emoji2969][emoji2969]
Numbisa mama ubarikiwe huwa uko vizuri kwenye urembo naamini wew ni Msichana mrembo mnoHuboresha afya ya nywele na ngozi
Naamini umewahi kusikia kuwa parachichi hutumika kutengenezea mafuta ya nywele na ya ngozi; hii ni kutokana na kusheheni vitamini E ambayo ni muhimu kwa ajili ya afya ya nywele na ngozi zetu.
Numbisa mama ubarikiwe huwa uko vizuri kwenye urembo naamini wew ni Msichana mrembo mno
AmenNumbisa mama ubarikiwe huwa uko vizuri kwenye urembo naamini wew ni Msichana mrembo mno
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie basi atupiemo! [emoji23][emoji23][emoji23]
Parachichi lipi unalozungumzia hapa Numbisa??hope sio lile la ankoo [emoji2][emoji2]Parachichi lina Potasiamu nyingi kuliko ndizi
Watu wengi wanapenda ndizi kwa kuwa ni chanzo kimoja wapo cha madini ya potasiamu, lakini hawafahamu kuwa ndizi ina potasiamu asilimia 10 na parachichi lina asilimia 14. Hivyo parachichi ni bora zaidi.
Atupiamo nini πππMwambie basi atupiemo! [emoji23][emoji23][emoji23]
Allihamdulillah [emoji120][emoji120]Hakika kwetu ni Neema, baraka na amani wangapi leo walitamani wafike mwenzi huu wa Ramadhani lakini kwa uwezo wa Allah leo hii tumeenda kuwapumzisha katika nyumba zao za milele,wangapi wanao tamani angalau wapate wasaa wa kufunga ila kutokana na maradhi haitowezekana kwao. Mimi na wew kama tumepata Neema ya kuwa na Afya njema tuseme Allahadulah [emoji2969][emoji2969]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1089218
Kabisa yasiwe ya kweli. Jack alizoea maisha ya juu akishushwa na skendo juu hali itakua mbaya sana kwakeHope yanayosemwa yawe ya uongo maana dah
Mengi hakika alikuwa mtu wa watu
Mpendwa ndugu yangu katika imani kama kuna kosa niliwahi kukosea kwako sorry, tuingie kwenye mwenzi mtukufu tukiwa na amani ya nafsi.Allihamdulillah [emoji120][emoji120]