she is a very good and funny woman...
Doh haya matunda yanatamanisha kwa kweli
😋😋😋😋😋Embe nyonya, chapa ya MuhezaView attachment 1091116
Hahahaa dah umenikumbusha mbali
Wow.. Cute Doggy
Ndugu kashaingalia mda 😂😂😂😂Hahaha Hawachi kashindwa! wewe utaweza kweli?
Ugumu upo palepale bwana Mwenyekiti, ingawa unaruhusiwa kuipitia video ya Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo
😁😁😁 Hatariii wagumu hawa!Ndugu kashaingalia mda 😂😂😂😂
Kipande cha picha kinamuonyesha Gwaji kichwa na kifua nusu, nadhani haiwezi haribu funga[emoji23] So uliifungua ?
😁😁😁Hutakiwi hata kuijua Poti.. haikuhusu kabisaa according to the rumuorsNdugu mjumbe wa kudumu wa Chama cha Wagumu, hebu nipe ndondoo. Kuna khabari gani kwenye hiyo video? Sijaiona bado!
Niamini mimi mpendwa 😁😁😁😁😁😁 Hatariii wagumu hawa!
Muyalete Dar basiii..Njoo huku kijijini Nyingwa Morogoro utayapata yote hayo
Nahangaika nayo hapa Dar sijui kama itatoa matunda.
Mmh mbona uliifungua ungeyakuta?Mi mgumu wewe[emoji23][emoji23]
Achana nayo itakuharibia mfungo bure...Nitumieni na Mimi video jamanii
Video ya Askofu mkuu wa ufufuo na uzima akiwa na mchepuko imetupiwamo.Ndugu mjumbe wa kudumu wa Chama cha Wagumu, hebu nipe ndondoo. Kuna khabari gani kwenye hiyo video? Sijaiona bado!