Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mechi hiyo Hazard alikuwa moto kwelikweli akipiga pasi sahihi kwa asilimia 92, huku akigusa mpira mara 87 na kutengeneza nafasi sita za mashambulizi huku asisti zake mbili zikimfanya afikishe 15 kwenye ligi msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…