Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kocha ndiyo anayonafasi ya kuwajengea wachezaji motive ili waweze pambana ilitakiwa hata kama Timu inatolewa mashindanoni kweli mnajua haikuwa bahati yenu sio kwa performance mbaya ya kiwango kile Beki zinajisahau kama wanacheza rede goli la nne si la kufungwa kabisa

Kocha Hamna pale bro
Kuna ukweli
 
AC Milan – mabao 231

Muongo mmoja uliopita, AC Milan ilikuwa timu kiboko kwenye michuano ya Ulaya. Timu hiyo imebeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya mara saba, lakini mara ya mwisho kucheza michuano hiyo ilikuwa kwenye msimu wa 2013/14.
 
Milan imefunga mabao 231 katika michuano hiyo ya Ulaya ambako haikucheza kwa muda mrefu. Mchezaji wake wa mwisho kuifungia bao alikuwa Kaka dhidi ya Atletico Madrid, Machi 11, 2014.
 
FC Porto –mabao 253

Miamba ya soka ya Ureno, FC Porto haipo kwenye ubora mkubwa sana kama ilivyokuwa huko nyuma, lakini wababe hao bado wamekuwa na rekodi nzuri za mabao kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kutokana na kuwa miongoni mwa timu zinazoongoza kwa kufunga, ikiwa imefunga mara 253.
 
Msimu huu timu hiyo imefunga mabao 20 hadi hapo ilipotupwa nje kwenye hatua ya robo fainali. Bao lake la mwisho lilifungwa na Eder Militao dhidi ya Liverpool, Aprili 17, mwaka huu.
 
Chelsea –mabao 266

Chelsea haikucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu. Imecheza mara nyingi kwenye makundi au mtoano kuliko Borussia Dortmund na Liverpool.
 
Imefika fainali mara mbili na kubeba ubingwa mara moja, huku bao lake la mwisho kwenye michuano hilo likifungwa na Willian dhidi ya Barcelona, Februari 20, 2018.
 
Arsenal – mabao 281

Arsenal inapambana na hali yake kuhakikisha inarudi kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao baada ya mara yake ya mwisho kucheza michuano hiyo ikiwa 2016/17
 
Arsenal ni timu pekee kwenye orodha hii ya zilizofunga mabao mengi kwenye Ligi ya Mabingwa, lakini haijabeba ubingwa. Msimu ujao inaweza kufuzu kupitia Europa League kama itabeba ubingwa. Bao lake la mwisho lilifungwa na Walcott dhidi ya Munich, Machi 7, 2017.
 
Juventus – mabao 292

Huko kwenye Serie A, Juventus imetawala ikibeba taji hilo kwa msimu wa minane mfululizo. Imeweka rekodi ya kufunga mabao 292.
 
Juve imeshinda ubingwa huo mara mbili, lakini ni moja kati ya timu zilizocheza mechi nyingi, huku bao lake la mwisho likifungwa na Ronaldo dhidi ya Ajax, Aprili 16, 2019.
 
Man United imefika fainali mara tatu katika kipindi cha miaka 11 japo hali yao imekuwa mbaya kipindi cha karibuni. Bao lake la mwisho kwenye michuano lilifungwa na Rashford dhidi ya PSG, Machi 6, mwaka huu.
 
Bado haijafikisha mabao 500, ikiwa imefunga mara 457 katika michuano hiyo huku ikiwa na rekodi ya kuingia fainali mara tatu tangu mwaka 2010. Bao lake la mwisho kwenye michuano hiyo lilifungwa na Joel Matip wa Liverpool aliyejifunga Machi 13 mwaka huu.
 
Back
Top Bottom