Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tatizo ila sauti iliyosema Asante baby ni yake kabisa
Mimi naona video ya kwanza na ya pili sio scene moja.

Pili kutokana na matukio ya kisiasa yanavyofanyika awamu hii kuna uwezekano ikawa ilitengenezwa kitambo ikatunzwa na jana imeachiwa ili kufunika issue ya Mdude ambayo tyr ilishika kasi mitandaoni.

Kwa teknolojia tuliyo nayo lolote linaweza kutokea.
 
Jogoo
FB_IMG_1557276106664.jpeg
 
Back
Top Bottom