Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Barcelona – mabao 502

Barcelona imeshinda taji la Ligi ya Mabingwa mara mbili tangu ilipoweka historia mwaka 2009, ambapo ilikuwa moto uwanjani. Lakini miaka 30 iliyopita, Barca ilikuwa timu kubwa isiyotamba kwenye michuano ya Ulaya.
 
Ushindi wake wa 3-0 kwenye nusu fainali ya kwanza dhidi ya Liverpool msimu huu imeifanya kufikisha mabao 500 kwenye michuano hiyo ambapo kwa ujumla wake imefunga 502. Aliyefunga karibuni ni Messi dhidi ya Liverpool wiki iliyopita.
 
Real Madrid – mabao 551

Ikiwa imebeba taji hilo la Ligi ya Mabingwa Ulaya mara 13, kitu kinachoshangaza ni kwamba Real Madrid haijafunga mabao mengi sana, Mia Tano tu.
 
Timu hiyo iliyofanikiwa zaidi kwenye michuano hiyo ya Ulaya, imecheza mechi nyingi huku ikiweka rekodi kwa kubeba mara tatu mfululizo chini ya kocha wake Zinedine Zidane, lakini mabao yake iliyofunga kwenye michuano hiyo ni 551.
 
IMG-20190508-WA0017.jpeg
 
Back
Top Bottom