Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi naona video ya kwanza na ya pili sio scene moja.

Pili kutokana na matukio ya kisiasa yanavyofanyika awamu hii kuna uwezekano ikawa ilitengenezwa kitambo ikatunzwa na jana imeachiwa ili kufunika issue ya Mdude ambayo tyr ilishika kasi mitandaoni.

Kwa teknolojia tuliyo nayo lolote linaweza kutokea.
Yote yawezekana bro ila kama imetengenezwa kweli basi jamaa mafundi sanaa
 
Yote yawezekana bro ila kama imetengenezwa kweli basi jamaa mafundi sanaa
Wambea tumeshakula ubuyu. Yeye na waumini wake watajijua ila wamemuwezea maana inasemekana ni tabia yake. Mfano skendo ya frola mbasha
My point is kwa video ilivyo inawezekana ni ya kweli au ya kutengeneza.Kitendo cha video mbili kutokushabihiana hakumaanishi kuwa ile ya pili sio ya kweli.

Wasiwasi wangu unakuja kwa kuzingatia timing ya video kutoka ambayo kwangu imekaa kisiasa zaidi(kuzima upepo wa Mdude) ....na hii mbinu inatumika sana kipindi hiki.

Pia kuhusianisha hizi video 2 zisizo na mazingira yanayofanana kwangu kunaleta utata.
 
.
FB_IMG_1557275643474.jpeg
 
Poleni sana, ila kuna cha kujifunza kupitia mechi ya jana.
1. Usimuamini mtu hata iweje maana anaweza kukugeuka dk tu
2. Usikate tamaa no matter the situation. Just keep going and do ur best.

Walichofanya liva jana ni kwamba hawkuangalia ukubwa wa tim na pressure za nje, waliangalia walipokosea mechi iliopita wakalifanyia kazi na wakaona bado wana nafasi kubwa hata kama mashabiki zao walikata tamaa. Walicheza kwa imani moja tu, 'kushinda' na wakashinda.

Bravo Liverpool though am not ur fan [emoji4]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Tukutane jioni kwenye futari
 
Back
Top Bottom