Kuna ukweliKocha ndiyo anayonafasi ya kuwajengea wachezaji motive ili waweze pambana ilitakiwa hata kama Timu inatolewa mashindanoni kweli mnajua haikuwa bahati yenu sio kwa performance mbaya ya kiwango kile Beki zinajisahau kama wanacheza rede goli la nne si la kufungwa kabisa
Kocha Hamna pale bro
GT amesingiziwa [emoji1787][emoji1787]Sijajua ila naimani atakuja na hoja nzito nzito mana nae ni GT
So sad bro jamaa wametuvua nguo hadharani
NimeshaipataSiwez kuiweka hapa dada yangu.
wangalia baba asikofu hahahUnaenda kuabudu au kusikia utetezi?