myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
π π[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Tukutane jioni kwenye futari
Huku pia haikatikiHuku mvua tu bro
[emoji106][emoji106][emoji106]Salaam Brother!
Salaam ya watu wa IringaHivi maanake ni nini
HahahahahaKasema sura yake lakini kichwa sio chake [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana, sina nia ya kumnyanyasa mtu, nashangilia ushindi wa jana kama mlivyoshangilia wiki iliyopitaBro utatunyanyasa sana [emoji23]
Salaam makaveli10Hongera!! Rahatupika, muone faza herdsman anakata mbuno zake.
Duuu, unataka mpaka uone nanihii[emoji1787][emoji1787]Inachosha hata hajaonyesha naniiiiiiii hahahaa
Coder atakuwa na majibu mujarabMr Coder embu tuambie kunauwezekano wa kucheza na devices mpaka ikawa vile ya Gwajima?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah wewe nae adi uone kila kitu
[emoji23][emoji23]Raha ya ubuyu kupepesa jicho kila idara
Huenda shetani alimshika mkono baba Askofu mpaka mahali husika[emoji23][emoji23]Ni yeye,familia imekubali ila imemsingizia shetan
Nakubalia naweMimi naona video ya kwanza na ya pili sio scene moja.
Pili kutokana na matukio ya kisiasa yanavyofanyika awamu hii kuna uwezekano ikawa ilitengenezwa kitambo ikatunzwa na jana imeachiwa ili kufunika issue ya Mdude ambayo tyr ilishika kasi mitandaoni.
Kwa teknolojia tuliyo nayo lolote linaweza kutokea.
Coder kasema sijui tumuone programmerCoder atakuwa na majibu mujarab
[emoji23][emoji1787][emoji1787]Hahahahaha lol!