Hela zinamlevya huyu jamaaMaisha ya mshambuliaji wa Brazil Neymar ndani ya klabu ya PSG yanazidi kuwa mafupi kutokana na mwendelezo wa matukio ya utovu wa nidhamu anaoendelea kuufanya ambapo safari hii anatuhumiwa kushambuliana kwa maneno na mchezaji mwenzake, Julian Draxler.
Wampige bei tu ili mambo yaisheMatukio hayo ya utovu wa nidhamu wa mfululizo ambayo yamekuwa yakifanywa na Neymar, yameendelea kutokea katika kipindi ambacho wengi wanamkosoa Neymar kwa mchango duni anaoutoa ndani ya kikosi cha PSG licha ya yeye kuwa ndio mchezaji mwenye thamani kubwa kikosini.
Hata bure sitakiNyumba inauzwaView attachment 1092153
Wanachezea hela kwa mtu asiye na nidhamuNyota huyo wa Kibrazil, analipwa kitita cha Pauni 515,000 (zaidi ya Shilingi 1.8 bilioni) kwa wiki baada ya kukatwa kodi lakini mafanikio pekee ambayo ameyapata ndani ya timu hiyo ni kutwaa Taji la Ligi Kuu ya Ufaransa tu
Ndiyo.Haya ni maembe?
Njema, za kwakoHabari za usiku huu
Hahahahaha, vipi unamkimbia?Mzee wa liver huyoooo
[emoji2089] [emoji2089][emoji2089]
Hujambo[emoji16]Hahaha
Ok, ikawajeWakati najiandaa kuangalia game ya Liverpool mke wangu alipata uchungu ghafla
Angeanza kutamba na yeyeHahahahaha, vipi unamkimbia?
Oooh Hongera na poleMuda wake wa kujifungua bado nilikuwa nategemea kupata twins lakini hali ya mama ilikuwa mbaya sana tumeokoa mama na mtoto mmoja nashukuru Mungu kwa kila jambo
Mambo yalikuwa si habaSikuangalia game ya Liverpool kwa kweli lakini walichofanya viijana
What a come back
Pole sanaMkuu nimekuja ilikuwa usiku mrefu sana kwangu lakini nimepoa sasa
Utakoma sana na maombi yako ya kuombea mabaya yatufike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PoleTutakoma sie...
Asante, msalimie kijana na mama piaWadau nina furaha na majonzi nimekuja kuwasabahi tu kesho Mungu akipenda
Uje uchukue homenimezitamani hizi
DuuuuKondoo aliyenona wa bishop hata papa angeteleza tuView attachment 1092082