Muda wake wa kujifungua bado nilikuwa nategemea kupata twins lakini hali ya mama ilikuwa mbaya sana tumeokoa mama na mtoto mmoja nashukuru Mungu kwa kila jambo
pole sana mzee wa liverMuda wake wa kujifungua bado nilikuwa nategemea kupata twins lakini hali ya mama ilikuwa mbaya sana tumeokoa mama na mtoto mmoja nashukuru Mungu kwa kila jambo
Hongera sanaWadau wa likes nimepata mtoto wa kiume
Hongera sana
safiiKlabu ya Tottenham imetoka nyuma na kuwashangaza wenyeji wao Ajax katika mechi ya pili ya nusu fainali ya kombe la klabu bingwa Ulaya.
Lucas Moura alifunga bao la ushindi katika dakika ya 96 na kuisaidia timu yake kutoka nyuma na kuilza miamba ya Uholanzi Ajax Amsterdam 3-2 na kutinga fainali dhidi ya Liverpool.