myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
10:22
Hahaha eti ka archiePoti nae kapata ka “Archie” kake! Hongera sana poti!
Aisee
Klopp ana laana gani?sijawahi kutukana JF
mother fuckeeerrrrrrr what a comeback kwa mara nyengine tena
ndio maana mpira ukawa kharamu kwa dini ileeeee.
spurs wamefungwa mechi mbili msimu huu na liverpool, nahofia kilichowakuta man city ndicho kitakachowakuta liverpool
bila ya kusahau laana ya klopp
Wadau wa likes nimepata mtoto wa kiume
Muda wake wa kujifungua bado nilikuwa nategemea kupata twins lakini hali ya mama ilikuwa mbaya sana tumeokoa mama na mtoto mmoja nashukuru Mungu kwa kila jambo
Hii ni kweli ...England imedhihirisha kwa sasa ina ligi kali na ngumu kuliko zote barani Ulaya
Asante sports lady, PriscaKiungo wa kati wa Uhispania Juan Mata, 31, anataka kujiunga na Barcelona wakati kandarasi yake na Manchester United itakapokamilika mwisho wa msimu huu (Sport)
Kutoka esta mpaka prisca duhAsante sports lady, Prisca
Kumbe waitwa EsterKutoka esta mpaka prisca duh