Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Klopp ana laana gani?
 
Wadau wa likes nimepata mtoto wa kiume
Muda wake wa kujifungua bado nilikuwa nategemea kupata twins lakini hali ya mama ilikuwa mbaya sana tumeokoa mama na mtoto mmoja nashukuru Mungu kwa kila jambo

Aisee, poleni sana bro na hongereni pia.

Ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo.Mungu aendelee kuwapatia afya njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…