Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Penalti yake ya nne kubababisha ilikuwa kwenye sare ya Brighton Jumapili iliyopita na hivyo kuwagharimu Arsenal kwenye hatakati za kumaliza ligi ndani ya Top Four baada ya kupata sare ya bao 1-1. Kiungo Xhaka alijikuta kwenye matatizo makubwa ya kukosolewa na mashabiki wa timu hiyo kutokana na hicho alichokifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…