Jaguar, ni jamii moja ya chui. Hawa wanapatikana huko Amerika ya kati na kusiniMkuu Moud kaniambia ni Jaguar na mimi nimejiridhisha hivyo kua ni Jaguar
Mi siyo mtaalam mkuu.Yea .. huyu ni mtaalamu wa haya mambo. Ingawa ni ngumu kuwatofautisha kidogo.
Wanafanana na bahati mbaya wataalam wa Kiswahili hawajaweka majina ya kuwatofautisha.Indeed....
Wanachanganya sana
Duma na Chui wanaweza kujamiana na wakapata mtoto?Jaguar, ni jamii moja ya chui. Hawa wanapatikana huko Amerika ya kati na kusini
Hata hivyo jamii kadhaa ya Chui wanapatikana kwenye maeneo tofauti tofauti Duniani.
Tiger, Jaguar, Cheettah, Leopard, Puma. Tanzania tuna Leopard na Cheetah.(wote ni chui ingawa cheetahs tunamwita Duma na Leopard tunaita Chui)
Tiger wanapatikana zaidi barani Asia na Puma ambao wanafanana kidogo na Simba wanapatikana huko Amerika
Wape pole[emoji23][emoji23]Liverpool ni maadui wa Man United na Spurs ni maadui wa Arsenal. Hivyo kinachosemwa ni kwamba mashabiki wa timu hizo wamegawana, Man United wanataka Spurs wamebebe ubingwa wa Ulaya na wale wa Arsenal wao wanataka Liverpool ndio wanyakua ubingwa huo. Ajabu, Man United na Arsenal ndio wanaoteseka.
Pole yakeGwiji wa Man United, Gary Neville aliandika kwenye Twitter akiweka nembo ya Spurs na kuandika: βWanastahili kubeba taji hili, sivyo.β
HahahaMtu mmoja ndiye aliyetoa kali zaidi alipoandika: βHii si fainali ya Liverpool na Spurs. Ni ya mashabiki wa Man United dhidi ya mashabiki wa Arsenal.β
π meaning sijasoma novels au comic books kitambo. Nnachosoma ni work related tu..
Jaguar ni gari bana π€πJaguar, ni jamii moja ya chui. Hawa wanapatikana huko Amerika ya kati na kusini
Hata hivyo jamii kadhaa ya Chui wanapatikana kwenye maeneo tofauti tofauti Duniani.
Tiger, Jaguar, Cheettah, Leopard, Puma. Tanzania tuna Leopard na Cheetah.(wote ni chui ingawa cheetahs tunamwita Duma na Leopard tunaita Chui)
Tiger wanapatikana zaidi barani Asia na Puma ambao wanafanana kidogo na Simba wanapatikana huko Amerika
π Aisee"Kagera kila kitu wao"
Magufuli
kuku mgeni...