Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni kweli bro,tuna haki ya kuhoji,,ndio maana nimekuambia sio MO pekee,naona matajiri wengi wenye asili ya kihindi hapa Bongo hawapo karbu na jamii hasa mambo kama haya yanapotokea

MO kila kona watu walipaza sauti,lkn kwenye matatz mazito kama kutekwa au msiba amekuwa nyuma sana,,watu wameenda mbali wanadai hata Manji na Boss wa Azam pia wapo nyuma kwenye matatzo kama haya

Inaweza kuwa kuna maagano flani bro,wenzetu hawa wana mambo mengi sana nyuma ya pazia
 
Wakati vinanadiwa Vipigo vya kuchakaa alikuwa wapi huyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…