Ndani ya saa moja tangu kutolewa uwanjani alifanyiwa uchunguzi wa kina ikiwamo picha za X-ray na CT Scankuona kama kuna damu yoyote ambayo imevilia katika ubongo au kuvunjika kwa fuvu.
Ingekuwa kwetu Afrika ingekuwaje?
Aisee,,vipi kama huyo mke wake akipoteza maisha kwenye hiyo ajari,,hzo pesa atakazolipwa zitakuwa na faida kwake??
aigoooo nimemuona JET LI na TONY JAA kwa wakati mmoja.
Uko jukwaa la michezo mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wakuu uji wa pilipili umenilevya hivi hapa nipo jukwaa na siasa au [emoji41][emoji41]
Ni jesca😀😀😀😀Hapana bro,Prisca nani tena??