Goooaaaaallll
Huu msimu hata usipokula daku njaa haikusumbui kamvua matata🌧 🌧 Tunyooshe tunyooshe nahivi umekuja msimu wa mtukufu
Hamna ndoa hapoMke wangu hapendi tendo la ndoa, ndoa yangu ipo matatani. Nisaidieni.
Kabla sijamuoa mke wangu, nilimueleza udhaifu wangu wa kupenda tendo la ndoa kupita kiasi na alikubaliana na huo udhaifu wangu. Alikuwa ananipa unyumba kadri nitakavyo kulingana na huo udhaifu wangu, hadi ikafika wakati nikakinai kupokea hiyo huduma ya unyumba. Muda ulipotimia, nikaamua kumuoa...www.jamiiforums.com
Kumbe,mbona ulisema sio mwenyewe nikakafuta ka kideo uwiiiii na upatikanaji wake mgumuuuu in naniii voice hahahahaHuu ni ujinga sasa! Prints za mikono zinaonyesha ile video ni yake.
Aache upuuzi.😡
Jamaa avumilie tu au aoe mke wa pili dini inamruhusuNamna ndoa hapo
KoromijeeeeAisee..upo wapi?
Kwani mkuu mwifa yupo upande wa ndoa za mitala?Jamaa avumilie tu au aoe mke wa pili dini inamruhusu
Mwifwa yupo upande wenuKwani mkuu mwisho yupo upande wa ndoa za mitala?