haoni kama ndio raha yenyewe hiyo, muda wote kuhangaishana kama mbuziMke wangu hapendi tendo la ndoa, ndoa yangu ipo matatani. Nisaidieni.
Kabla sijamuoa mke wangu, nilimueleza udhaifu wangu wa kupenda tendo la ndoa kupita kiasi na alikubaliana na huo udhaifu wangu. Alikuwa ananipa unyumba kadri nitakavyo kulingana na huo udhaifu wangu, hadi ikafika wakati nikakinai kupokea hiyo huduma ya unyumba. Muda ulipotimia, nikaamua kumuoa...www.jamiiforums.com
Umekumbuka wapi mkuu? [emoji3]
Mdude atalijibia hiliNdio hao watekaji sio?
Hahaha[emoji41][emoji41]Vijana hao lazima wajue hiyo mitaa sababu kuna biashara maarufu pale wanaipenda sana
Mapumbu ya mbuzi.Hashua ni nini hicho mkuu wa kaya?
Hahah! Mwanadada maarufu sana huyoEva namjua[emoji41][emoji41]
Makende ya Mbuzi, zilikuwa zinachomwa na mzee furani miaka ya nyuma kwenye eneo hilo.Hashua ni nini hicho mkuu wa kaya?
Hahahahahaha.ninge ninge ninge.... Soma kijana wangu,elimu ni ufunguo wa maisha. Hayo mengine tuachieeee
Asante sana ndugu kwa kunijuza, vipi lakini amani na uzima vipo?Mapumbu ya mbuzi.
Huwa yanachomwa yakichanganywa na maziwa(manyonyo) ya mbuzi jike
Hahah aisee! Kweli old is gold siku hizi tupo kwenye vibanda vya PwezaMakende ya Mbuzi, zilikuwa zinachomwa na mzee furani miaka ya nyuma kwenye eneo hilo.
Wavulana walikua wanajazana kula Hashua za kuchoma
Au atuletee part twoKwa kweli aeksipleini kwa nini dk 1 tu..
Vingine vyote akae kimya
Bila kupitia stage hii...Utoto raha sana, kama umekulia getini jua umekosa mengiView attachment 1094394