[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mtoto hashindwi kitu, kila kumbukizi za wakubwa nae yumo. Isije nae kapita kwa Neema bonge
Nimefanya nini jameni?Usinifanyie hivyo ujue ..
kila mtu na madhaifu yake, nikikutana na msichana haijalishi ni jamaa yangu jambo la kwanza namuangalia miguu, sasa nikukute miguu yako ipo ovyo kama tembo a.k.a ndovu , baada ya salamu mbio nyingi kama nyumbu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanajua kukaangiza ,kupika aisee
Nshakula sambusa ya mzenji tamu balaa
#nisambusasio"sambusa"
Ha ha ha ha aiseeeAtarudi mei 30
#broanafaidikamagwajimavileeee
Kwahiyo unashauri nianze kuvaa?
Sisi wenye miguu kama Tembo tunakomenti wapi?kila mtu na madhaifu yake, nikikutana na msichana haijalishi ni jamaa yangu jambo la kwanza namuangalia miguu, sasa nikukute miguu yako ipo ovyo kama tembo a.k.a ndovu , baada ya salamu mbio nyingi kama nyumbu.
- miguu
- tabia
- maarifa
- sura yako
Hapa Davet atapata tabu saana!!
[emoji23][emoji23][emoji23]comment zako comedy tosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila mtu na madhaifu yake, nikikutana na msichana haijalishi ni jamaa yangu jambo la kwanza namuangalia miguu, sasa nikukute miguu yako ipo ovyo kama tembo a.k.a ndovu , baada ya salamu mbio nyingi kama nyumbu.
- miguu
- tabia
- maarifa
- sura yako