Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WAKATI mwingine maisha huwa hayatendi haki. Cheki mastaa matata kama Steven Gerrard na Gianfranco Zola wametamba sana Ligi Kuu England, lakini hakuna hata mmoja aliyefanikiwa kubeba taji hilo. Liverpool inasumbuka kwa miaka kibao tangu ligi hiyo ilipoanza, licha ya kuwa na mastaa kibao kwenye kikosi chao, wameshindwa kubeba taji hilo.
 
Jeremie Aliadiere (Arsenal)

Jeremie Aliadiere alikuwa kwenye kiksoi cha Arsenal kwa miaka sita, lakini muda mwingi alikuwa kwenye benchi tu. Straika huyo alifunga bao moja tu katika mechi 29 alizochezea Arsenal ile iliyokuwa chini ya Arsene Wenger.
 
Jermaine Jenas on Matthijs de Ligt:
β€œI actually think Harry Maguire's a better player personally. I don't really see what he (de Ligt) does that Harry Maguire can't do."


ndio maana nawachukia waingereza kwa tabia zao za kipumbavu, lakini yupo sahihi hakuna tofauti iliopo kati ya maguire na de ligt kwa sababu wote hawana tatizo la nguvu za kiume ndio maana hawakeshi nyumba za ibada ili wasaidiwe mafuta ya bwana au maji ya zam zam
 
[IMG alt="Accept responsibility for your life. Know that it is you who will get you where you want to go, no one else.
.
.
.
#happythursday #ankara #africanwax #africanwaxprint #africanfashion #africanfabric #ankaralovers #ankarastyles #waxprint #waxfabric #africa #africanwax #asoebi #asoebibella #asoebibellanaija #ankarazone #idoghana #protectivestyles #asoebistyles #kente #nigeria #ghana #ankaracatalogue #ankaralooks #blackgirlsrock #blackgirlmagic #blackbusiness #blackowned #naijafashion #asoebispecial #accra"]https://instagram.fxds1-1.fna.fbcdn...?_nc_ht=instagram.fxds1-1.fna.fbcdn.net[/IMG]
 
Jeremie Aliadiere (Arsenal)

Jeremie Aliadiere alikuwa kwenye kiksoi cha Arsenal kwa miaka sita, lakini muda mwingi alikuwa kwenye benchi tu. Straika huyo alifunga bao moja tu katika mechi 29 alizochezea Arsenal ile iliyokuwa chini ya Arsene Wenger.
 
Alexander Buttner (Man United)

Alex Buttner alisajiliwa na Manchester United mwaka 2012 na alikwenda kucheza mechi 13 tu katika klabu hiyo yenye maskani yake Old Trafford. Msimu huo wa 2012/13, ambao Man United ilibeba ubingwa wa Ligi Kuu England, Buttner ndio aliocheza mechi 13 na kupata medali hiyo ya ubingwa wa ligi. Beki huyo wa Kidachi aliondoka Man United kwenda kujiunga na Dynamo Moscow mwaka 2014 na sasa anacheza Jong Vitesse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…