Leo ndio leo aiseeHatimaye EPL inaisha zake leo
KabisaLeo ndio leo aisee
Duh!!Enzi zenu[emoji1787][emoji1787]View attachment 1095051
Uimara wa EPL ndiyo huoLiverpool itacheza na Tottenham Hotspur kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Chelsea dhidi ya Arsenal itamaliza ubishi kwenye fainali ya Europa League.
KabisaHii ya Ligi Kuu England kufunika Ulaya nzima ni mara ya kwanza haijawahi kutokea kwenye sehemu nyingine yoyote.
HaswaaaHii ya Ligi Kuu England kufunika Ulaya nzima ni mara ya kwanza haijawahi kutokea kwenye sehemu nyingine yoyote.
hayo maji mhhhhhhhEnzi zenu[emoji1787][emoji1787]View attachment 1095051