Kiswahili hukua[emoji16]
Mara hii umesahau si tuliziona humu humuUmezionea wapi wewe Numbisa?
Itakua poa sana ila na madongo kwa wapinzani uyarushe sasa
Hahaha [emoji23][emoji23]anakuuzia kesiAaah hata nipo nyumba ya vioo ujue wakirudisha inakula kwangu hahaha
AsanteπMmeumia leo jamani... poleni
Duuu, wanateseka sanaCHELSEA wanafanya kila njia kumfurahisha supastaa wao Eden Hazard ili abaki kwenye kikosi chao baada ya usiku wa juzi Ijumaa kumpa tuzo mbili za ubora kikosini hapo.
So the love goes on and on?
Thank you muchPole Dadaaa...
Poleni sana
Ha ha ha,,za Tanga mkuuKuna chapati za Arusha au za Tanga Mkuu? [emoji12]
Ha ha ha,,za Tanga mkuu
[emoji23][emoji23]View attachment 1095385
Chezea ajira [emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2] watu wamevulugwa kweli kweli
nimewaza muda huu.
unaweza kukuta huyu BAK ni jasusi uchwara wa TISS na ndiye anayeongoza kung'oa wapinzani meno kwa mkasi
π°π· π°π· π°π·