carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hamna sio andjul kuna mwingine anakazi ya kitaja taja majina humuAtakuwa Andjul bila shaka...[emoji23][emoji23][emoji23]. Huyu sasa angalau katulia sasa hasa ukizingatia kuwa karudi kwa ex wake...
NaaamUparen
Nilikuwa najaribu ku-update database yangu. Sikuwa na nia mbaya mkuu!Hahhaah umeanza
HahahahahaWazee wa kunyapia nyapia...sina maana hiyo[emoji125] [emoji125]
Kichwa kapata faraja ya moyo wake pete zote karudisha kwa sonara sasa hivi anajenga familiaHahaha hutaki nipewe Data. Kisa KK
Tena atulie kabisa kama ananyolewa...[emoji23][emoji23][emoji23]. Abaki njia kuu kabisaaaa!Nilikua nakusalimia,wifi hajambo?shimba kasema utulie uache michepuko
Ukitendwa tutakupa poleKichwa Kichafu katulia jamani muacheni
Nenda Makapuku utawakuta!Mabitoz wamepungua
HahahhahaNilikuwa najaribu ku-update database yangu. Sikuwa na nia mbaya mkuu!
[emoji23] [emoji23]Tena atulie kabisa kama ananyolewa...[emoji23][emoji23][emoji23]. Abaki njia kuu kabisaaaa!
Da man of da pipoz...pawaaaaa !!!Pombe magufur
[emoji23] [emoji23] Kichwa shemej yangu ujueUkitendwa tutakupa pole
nimeisikia baba... i wanna grow old with you babeukishaimeza basi. Ni mpaka kifo. Jakitoo unasikia hii maneno mama?