Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vitumbua vitamu kama vyako natafuna tu [emoji12][emoji12][emoji12] bila ya kusahau chapati zako tamu na laini.

Me sijui kupika vitumbua ivo,nlipika once by a unga wa mchele ila siku nlivopika vya mchele wa kuroeka vilikua uji shahidi yangu mkwe wangu THOMASS SANKARA 🀣🀣🀣
 
Skill video ?[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Bado aisee mie chakula bila pilipili sifurahii. Naipenda zaidi ya embe kuliko ya ukwaju.

Hii hapa ni kiboko pia

Apo kuna lemon una peel maganga
Pilipili,tangawizi,green apples,kitunguu thomu na chumvi.

First unaweka olive oil au mafuta yoyote kwenye pan alafu unaweka izo ingredients then unaweka vinegar kiasi.

Unafunika for 5 minutes,unawacha ipoe then una blend.

Wageni wako wapenda pilipili uwanunulie na vitanda 🀣🀣🀣
 
Nitaitafutia nafasi hii nichakarike nayo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…