[emoji102] [emoji102] [emoji102]Nilikua nataka ufurahie nyimbo tu sina maana nyingine
Well saidToa likes. Matusi utafungiwa. Jf ni Moja ileile
Toa likes upewe likes
Na wewe ukumbuke tu kutoa likes..Ngoja nijaribu kucomment kama kwel nitapata hizo likes
Sawa...Usisahau bhasi Sawa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] legea ulegezweWazee wa kunyapia nyapia...sina maana hiyo[emoji125] [emoji125]
Haswaa asidhani yeye pekee ndio anaumia kuna watu wanaumizwa ila kama mwanaume inabidi kukaza tu.Mwanaume jikaze acha kulia lia. Nyie ndiyo huwa mnaishia kujinyonga kisa eti umeachwa!
Likes kwa likesNipeni like na mm nifurahi. Napenda like km msanii
Nakaba nini mkuu? Matatizo yako ya ndoa usinibebeshe mimi mkuu. Kuchepuka uchepuke wewe halafu lawama nibebeshwe mimi? No sir!Shemeji anakaba sana. Kupenda ni kifungo kwa kweli
Enjoy the showMpenzi mtazamajii
Form two hiyo![]()
wanafunz chonde chonde
Kula likesUsingewataja hao waharibifu ningefurahi zaidi. Lakini una maanisha? [emoji12] [emoji12]