Kwakweli 😀😂😂😂Nimepunguza ukali wa maandishi
ImemnyesheaAsifuye mvua.......
Si mshindaniAsiye kubali kushindwa.........
Akudhamini 😜😜Asiye kujua......
Na lake halipoAsiye kuwapo ......
Njema sana Hawachi, mambo?Habari yako
Inanikosha sana hiki kipindi.Na hata haina maneno mengi ila inaniliwaza sana.Bro hii kazi unaielewa sana?
Safi CapitalpoolNjema sana Hawachi, mambo?
Hii ina maana gani 🤔Anaejipiga mwenyewe.......
Ana MachacheAsiye na mengi.......
Asalam alaykum
😀😀Aisee hadi wewe kaka, yes nimemsamehe
Njema sana Bro ..