Sawa broInanikosha sana hiki kipindi.Na hata haina maneno mengi ila inaniliwaza sana.
Ni mpenzi wa hizi tecno pia.
I hope kumekucha salama huko.
Hahaha mda huu unawaza kufuturuNjema sana Bro ..
Hapa kwema nasubiri kufuturu tu. Swaumu inakaba si kidogo!
Hope weekend iko poa kwako Hawachi!Safi Capitalpool
Karibu kufuturu kwangu leo CapitalpoolHope weekend iko poa kwako Hawachi!
Nafurahi uko hapa na mimi leo.
Maana yake tufikirie wote ila jibu lake hapo "halii"Hii ina maana gani 🤔
Wa alekhum asalaam, keif khaluki?Asalam alaykum
Yani kula kwangu ni starehe moja ya maana sana!Hahaha mda huu unawaza kufuturu
Hahaha we nina wasiwasi ukiwa chumbani unakunywa maji kidogo.Yani kula kwangu ni starehe moja ya maana sana!
Yani muda wote nawaza kula tuu.
You can imagine vile nmeskip chai na sasa Lunch 😬 😬 😬
Bukheri allahadulah keif nte?Wa alekhum asalaam, keif khaluki?
Haambiwi maanaAsiyejua maana......
Hana ajifunzalo.Asiye uliza......
HakikaHana ajifunzalo.