ngoja nikupe mji wa kwenda ili unitajieMaana yake tufikirie wote ila jibu lake hapo "halii"
Nyangumi ππAvumaye baharini papa.....
FarajaBaada ya dhiki......
Hahah noma sanaNyangumi ππ
Hizi methali nyingine unazitoa wapi mkuu πππHahah noma sana
Tupe na maana zake kama vpHizi methali nyingine unazitoa wapi mkuu πππ
Aisee nashukuru sana Hawachi.Karibu kufuturu kwangu leo Capitalpool
Zipo katika orodha ya methali ila sio maarufu sana kama wakina haba na haba πHizi methali nyingine unazitoa wapi mkuu πππ
Karibu sana mpendwaAisee nashukuru sana Hawachi.
Nitafika usijariππ
Muulize Davet zingine sijui kwa kweliTupe na maana zake kama vp
Ajipigae mwenyewe haliingoja nikupe mji wa kwenda ili unitajie
Maana ni mjuzi wa mathali ila kuna methali unaandika najiuliza hizi ni new methali ππππππZipo katika orodha ya methali ila sio maarufu sana kama wakina haba na haba π
ShukranAjipigae mwenyewe halii
Hahah! Kwamba toleo jipyaMaana ni mjuzi wa mathali ila kuna methali unaandika najiuliza hizi ni new methali ππππππ