Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha kabisa. Nawatu wanakuwa marafiki hata hawajaonana
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] siku malaika wakaamua katukutanisha... Ghafla cocochanel mama mkwe, Cole Williams shemeji mdogo, SHIMBA baba mkwe, kichwa Kichafu mdogo wako,Numbisa wife, carba dada...
 
Nsamaka baby
 
Asante Mungu kwa hili pito pia ninalopitia, hakika kuna makusudi yako. Ni ngumu sana kujiandaa kisaikolojia kumwondoa akilini msichana pekee unayempenda. Nakupenda sn P but naona kila aina ya dalili za kuvunjika kwa penzi letu.
Pole mkuu.
Mda tu ukipita utakuwa sawa ila kuwa strong huu mda mfupi huwa ndio unaumia zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…