Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inanikumbusha wakati furani kwenye Klabu ya Simba.
Kuna wa wachezaji walikuwa wanasajiliwa na watu furani furani na wao kuwalipa mishahara na kulazimisha lazima wapangwe.
Baadaye waliwauza na kulamba hela zote[emoji23][emoji23]
Itakua wakina Hance hao 😁😁

Soccer letu lina mambo ya ujanja ujanja sana huko ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…