Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
ndivyo tunavyoomba, usisahau kama ataondoka alex sanchez au pogba ni lazima ed woodwar ataleta mchezaji mwenye nguvu kwenye ulimwengu wa biashara.
either dyabala or gareth bale
sipo serious nimeshiba mihogo na uji wa nyama
Akiondoka pogba itakuwa raha sana ana ego kali huyo jamaa. Kucheza europa sidhan kama kutavuta mastaa wakubwa. Tumuombee city ban UCL kisha aseno ushindi dhidi ya chelsick tutatusua UCL
 
Namuona naniliu katika ubora wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…