Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Najua ila naona andjul anaanza kuleta ahutuma ambazo hazipo
Eti mimi na wewe tulikuwa an item. When? Where? How? I appreciate your intelligence na jinsi ulivyo calm na hiyo miwani yako ya classic librarian basi naishia hapo...and I have made this clear several times. Sasa naanza kusingiziwa mengine. Au wanataka kunichonganisha na Jakitoo wangu? Washindwe na walegee!
 
Asante Mungu kwa hili pito pia ninalopitia, hakika kuna makusudi yako. Ni ngumu sana kujiandaa kisaikolojia kumwondoa akilini msichana pekee unayempenda. Nakupenda sn P but naona kila aina ya dalili za kuvunjika kwa penzi letu.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] tayari....
 
Uchonganisgi sio mzur wanakuonea wivu na jakitoo wako,wapuuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…