Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Imekuwaje tena bro?Huyu cjui Nanyupu ananitafutia Ban
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hajui kama ISIS ni GoddessEt amekazana ISIS Gaidi nimempa maana bado tu anaforce Gaidi ss si lawama hiz
Utulie na ndoa yako muone...alafu tabia ya kutusingizia na SHIMBA YA BUYENZE sio nzuri ujue?...isk sijaona kama kakaribishwa humu naona watu wako busy na familia zao wanayajenga kasoro wewe[emoji16] [emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]bado, hebu ninyapie mibaba haija muangukia?
Et amekazana ISIS Gaidi nimempa maana bado tu anaforce Gaidi ss si lawama hiz
Hapo sasa. Carpa keshaonya kuhusu mijibaba mizengeaji humu. Kazi kweli kweli!Lazima leo niondoke na wewe mahondah
Mi ndo maana ntafuta bwana mwingineUtulie na ndoa yako muone...alafu tabia ya kutusingizia na SHIMBA YA BUYENZE sio nzuri ujue?...isk sijaona kama kakaribishwa humu naona watu wako busy na familia zao wanayajenga kasoro wewe[emoji16] [emoji16]
Si ndo hapo mi nashangaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hajui kama ISIS ni Goddess
Hata kama unatania lakini siyo utani mzuri. Kama uko siriazi na unahitaji msaada sema usaidiwe kwa msaada wa kitaalamu. Don't do this please![emoji102]
Mkuu maisha yangu yamepoteza Furaha 100% kwetu kungekuwa na bastola nishatangulia mbele za haki [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji22] [emoji22]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nimecheka kwa nguvuKuna Gaidi anaeishi Masaki
Kuna muda alikuwa anakuita ita mi nilikua namchora TuMpuuze
Kuna vitu ni vya kupuuza kwanini akupe shida?rudia kale ka tabia ka toa like upewe like,tho kalikua kananiboa[emoji6][emoji6]Et amekazana ISIS Gaidi nimempa maana bado tu anaforce Gaidi ss si lawama hiz
Siku moja ningependa kumwona Carpa mubashara.....Yani hiyo siku unaweza ukadondoka kwakwel kwa kicheko
Hi, Ur no plsThanks
Like serious...Mi ndo maana ntafuta bwana mwingine
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Nilikua nataka ufurahie nyimbo tu sina maana nyingine
Waaaaiiii[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Hata sikuaminigi kabisaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]