Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jana nilisema huu uzi wakati mwingine unapunguza stress,unaweza weka jambo hapa watu wakakupa ushauri,wakati mwingine ni vizur kuongea na strangers kama huna mtu wa kuongea nae si lazima wakishauri hata ukiongea tu watu wakasikiza ni vyema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…