Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,385
- 5,817
Tayari. Ugali mchicha with tea. ππHuku fresh kama siku zote, vipi umeshafuturu sasa?
Nimeufungua ndio, nimejivika ujasiri hahaahUmeufungua Happiness? [emoji4]
Kuna watu wanausifugi ugali kwamba unaleta nguvu basi nahisi utakua na nguvu sana asubuhi hiiTayari. Ugali mchicha with tea. ππ
Mimi msukuma, ugali asubuhi ndo jadi yetuKuna watu wanausifugi ugali kwamba unaleta nguvu basi nahisi utakua na nguvu sana asubuhi hii
OkMimi msukuma, ugali asubuhi ndo jadi yetu
Amina, na kwako piaaSiku iwe njema
[emoji7][emoji7]View attachment 1104199Tarraj....
Hahah! Kumbe ni mtu wa kanda ya ziwa, unawajua TRM?Mimi msukuma, ugali asubuhi ndo jadi yetu