Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,500
- 13,145
NaamNdiyo chenyewe, ila andaetini wengi hawakijui[emoji23][emoji23]
NaamNi mamilioni ya mashabiki wa soka nchini ikiwemo wewe na mimi Mkuu.
Kila jumapili huwa anakinukisha yaani anakua nakama waumini alafu ngoma zake anazigeuza katika mfumo wa gospel. Hatari tupu.Hapana,ndio nasikia kwako hii kuhusu Sunday service,ni nini Bro
Pesa, pesaMdada ukiolew na nyani sababu ya pesa zake pesa zitaisha Nyani atabakia na unyani wake.View attachment 1104487
Kabisa mkuuNahisi ukianguka hapa kabla haujafika chini utakua umeshafia katkat[emoji23]View attachment 1104501
NaamPesa, pesa
[emoji2][emoji2]Hahah! Kumbe ni mtu wa kanda ya ziwa, unawajua TRM?
Mwambie pia kuwa ana kaka ake humuNgoja mwezi mtukufu ukiisha utawajua wapo humu, unatoka mjini gani?
Aisee!Parachichi reeefuuu,nene lenye mafuta mafuta daah linatoaga juisi nyingi. Mmh naongelea hii jaman[emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1104527
Hahahaha kuna vitu bana hadi sisimizi wanasifia sembuse binadamuAisee!
Jamani adi Hawachi anasifia basi kweli ni tamu 😀
True G.O.A.TBest of of the best naam huyu ndie CR7 mnyama
[emoji117]mchezaji bora Epl
[emoji117]mchezaji bora la liga
[emoji117]mchezaji bora Serie A
Simply a G.O.A.TView attachment 1104390