Simba na wanyama wengine huwa wanakenua, ingawa badhi yao akikukenulia jua kifuacho ni kimbungaZinaweza kuwa za kweli,nilishaona moudy anaweka humu au shimba. Simba huwa wanacheka eti
Fisi huwa anacheka kama binadamu wakiwa kwenye sherehe zao.Aisee Simba huwa anacheka
Amin,Samatta ana jielewa mungu amjalie afike mbali zaidi
AsanteeeeeKaribu sana kwenye nyumba ya furaha
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu hatutaki kukupoteza. Tunakuvutia kasi tuone wewe ni wa aina gani, wakishakujua watakutania sana.
Mi mpole[emoji23][emoji23][emoji23]Watu hatutaki kukupoteza. Tunakuvutia kasi tuone wewe ni wa aina gani, wakishakujua watakutania sana.
😍In group of 10 women, 10 will admire this guy..... View attachment 1104568
Subiri mwezi mtukufu uishee. Utafurahi!!
Mmh haya ila mwezi mtukufu ukiisha mi sitakuwepoSubiri mwezi mtukufu uishee. Utafurahi!!
BTW Bro atakuwa karudi pia.
I Cant wait😀😀
Utakuwa wapi?Mmh haya ila mwezi mtukufu ukiisha mi sitakuwepo
Kijijini, kutakuwa hakuna netwokUtakuwa wapi?
Kuna siku ulisema wapole ni wanafiki kwenye mahusiano, nikadhani wewe siyo mpoleMi mpole
Ha haaaa jamani, unahifadhi mambo kiasi hicho? Mi nishasahau eti.Kuna siku ulisema wapole ni wanafiki kwenye mahusiano, nikadhani wewe siyo mpole
Chabo, Kozi..[emoji1787][emoji1787]Siku hizi wengi wetu tunapendezwa na yale yasiyokuwa na tija kwetu....View attachment 1104575
Hahahahambebishaji wa uzi naona umeiona hyo post pekee tu[emoji2][emoji2][emoji2]
Utatukuta. Usijali sana.Kijijini, kutakuwa hakuna netwok
Haina shidaUtatukuta. Usijali sana.