D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
mimi kukaa siku moja bila ya JF nashindwa.Kwakweli kapotea sana ila naimani atakua salama huko alipo, mtu mwingine kapotea ni iceman 3D
Aisee
Duh!!Bukoba bhana siyo watu wa kispoti spoti [emoji23]View attachment 1104665
Ya wapi hiyoBukoba bhana siyo watu wa kispoti spoti [emoji23]View attachment 1104665
Kilimanjaro..
Ukitaka kujua yupo uwe unaangalia ongezeko la likes zake(chezea robot fekeros[emoji23][emoji23][emoji23])Mwaka sasa umepita, pia huwa namkumbuka huyu jamaa alikua akiingia humu shughuli zote zinasimama kwa muda
Nani mchoraji? Alimaanisha nini?Picha iliyoleta sintofahamu na malalamiko mengi DunianiView attachment 1104843
Mzee Ruta pamoja na sisi wote ni wanadamu, kama binadamu kuna kifo, maradhi na changamoto nyinginezo nyingi.Kwakweli kapotea sana ila naimani atakua salama huko alipo, mtu mwingine kapotea ni iceman 3D