Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Isije kuwa Trick,
 
Ukitaka kujua yupo uwe unaangalia ongezeko la likes zake(chezea robot fekeros[emoji23][emoji23][emoji23])
Hahahaha kumbe huwa zinaongezeka!!
Kwahiyo tujue tu mzee Ruta yupo kivingine.
Kuanzia leo nitaanza kutunza hesabu ya likes zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na ikiwa hivyo hata fyekero lake litajulikana
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…