Poleee🙂Weary
Antonio Conte ameshinda makabiliano ya kisheria dhidi ya Chelsea na the Blues sasa ni lazima wamlipe meneja wao wa zamani £9m kama fidia ya kumfuta kazi msimu uliyopita. (Times - subscription required)
Hahaha, mkuu uwe unakuja na zile methali zakoUmenikumbusha jamani
Kweli siku zinakimbia eeeeeh
Nipo navizia kwa mbali kudaka # 1,000,000[emoji16]
AsantePoleee🙂
Duuu, hahaha nilikuwa sizijui.Hahahhaa moudy bana. Ruta anafekero 12. Na zinajulikana vizuri tu
Hahaha, mkuu watu wanatisha sana humu, ukifanya masihara unaweza ku weka silaha chini[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Aiseee
Hizi taarifa zimenishangaza sana bro sikutegemea haya mamboHahaha, mkuu watu wanatisha sana humu, ukifanya masihara unaweza ku weka silaha chini[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kwa sasa hayupo amesafiri, baada wiki chache atarejea.Nipo ndugu, yangu, ulezi tuu. Hivi SYB yupoo!????
Why?Nmejiskia vibaya sana.
Nilikua nasikia vitu hivyo, nilijaribu kumfuatilia mtu mmoja nikagundua ana fyekero kumi, sikuangalia kuhusu RutaHizi taarifa zimenishangaza sana bro sikutegemea haya mambo
Nipo nae hapa tuna leaKwa sasa hayupo amesafiri, baada wiki chache atarejea.
Yupo wapi yule mrembo mkuu?
Mwambie aje atusalimieNipo nae hapa tuna lea
Ngoja anatengeneza kahawa. Karibu kahawa ya jioniMwambie aje atusalimie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankoo popote ulipo shikamoooView attachment 1104950