Hahaha, vipi ulishamaliza masomo?Ngoja anatengeneza kahawa. Karibu kahawa ya jioni
Hawajambo Bro,wanakusalimiaTwashukuru bro, vipi kapuku hawajambo huko
Sasa huwa mnajuaje I'd mtambuko za mtu?Nilikua nasikia vitu hivyo, nilijaribu kumfuatilia mtu mmoja nikagundua ana fyekero kumi, sikuangalia kuhusu Ruta
Haaha wenyewe wanasema Kazi na Dawa.Hahaha, vipi ulishamaliza masomo?
Nitaenda kuwajulia hali broHawajambo Bro,wanakusalimia
Itapendeza sana broNitaenda kuwajulia hali bro
kwa hivyo kwa mujibu wa madai yako hiyo likizo munayochukua kwa sababu ya majukumu huwa hamutumii huduma ya internet?Hapana mkuu kuna muda unakuta unabanwa na majukumu mpaka unashindwa kutia mguu humu.
Mimi mwenyewe kukosekana humu huwa ni ngumu mno ila kuna kipindi nakata ata mwezi mzima. Au Shimba nae ni mlevi sana wa JF lakini sasa yupo bench kwa muda