Hapa namkumbuka GeJo, babes, nsamaka,carbamazepine, jakitoo, sweetle, kichwa kichafu, ho chi minh, mzee wa liver, uniq, mzee wa kulazimisha mahari SYB, andjul, hapa palikua full burudani.Wengi sana,kulikua na vituko vya kila aina. Kituko kimoja utakoshuhudia mbeleni kinaitwa mbioooo,yaani ikikaribia post ya milion uyashangaa zinaibuka ID ngeni ngeni uzi utakua fasta sana ili mradi kila mmoja anataka rekodi ya kuikamata post ya million.
Kuna wwngine hawachat ila wanamwaga likes kama robot vile,wanaibuka na kupotea
Mbebishano hehhehe capitalpool akasome kulikua na wizi wa mabebi humu,utan,ndoa za mikeka etc zaman ilikua raha kuliko siku hizi
Siku hizi mods wamegeuza uzi huu dampa la kutupia nyuzi mbovu mbovu
Walimu ni wito au walisahau hiii kauli[emoji23][emoji23][emoji23]
Duuh! asante sana, kuhusu post ya M kuna mtu alikua na Moud leo sijui jana aliulizwa mbona kapotea akasema atakuja kwenye post ya MWengi sana,kulikua na vituko vya kila aina. Kituko kimoja utakoshuhudia mbeleni kinaitwa mbioooo,yaani ikikaribia post ya milion uyashangaa zinaibuka ID ngeni ngeni uzi utakua fasta sana ili mradi kila mmoja anataka rekodi ya kuikamata post ya million.
Kuna wwngine hawachat ila wanamwaga likes kama robot vile,wanaibuka na kupotea
Mbebishano hehhehe capitalpool akasome kulikua na wizi wa mabebi humu,utan,ndoa za mikeka etc zaman ilikua raha kuliko siku hizi
Siku hizi mods wamegeuza uzi huu dampa la kutupia nyuzi mbovu mbovu
AiseeWengi sana,kulikua na vituko vya kila aina. Kituko kimoja utakoshuhudia mbeleni kinaitwa mbioooo,yaani ikikaribia post ya milion uyashangaa zinaibuka ID ngeni ngeni uzi utakua fasta sana ili mradi kila mmoja anataka rekodi ya kuikamata post ya million.
Kuna wwngine hawachat ila wanamwaga likes kama robot vile,wanaibuka na kupotea
Mbebishano hehhehe capitalpool akasome kulikua na wizi wa mabebi humu,utan,ndoa za mikeka etc zaman ilikua raha kuliko siku hizi
Siku hizi mods wamegeuza uzi huu dampa la kutupia nyuzi mbovu mbovu
AiseeeDuuh! asante sana, kuhusu post ya M kuna mtu alikua na Moud leo sijui jana aliulizwa mbona kapotea akasema atakuja kwenye post ya M
Mahakama ya mafisadi inawahusu hawa![emoji23][emoji23][emoji23] ufisadi upo kila kona bro,
bahati mbaya mnagonga likes bila kuangalia kinachofanyika huko tulikotoka.
Huko ndiko wahusika wakiwa wametulia nyumbani kwao hujimwagia malikes kupitia utitiri wa fyekero wanazomiliki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Post za anko na bro nilishaziona na nilifuatilia likes za mfuasi wa shetani nikagundua udanganyifu wake, wengine sikuwapitia, hata hivyo hilo halijaniumiza ila nimeishia kuwapuuza wanaotaka likes fekiDaah leo umeumia sana pole. Tushazoea hii mbona bro na anko wanafahamu vizuri tu na walishaongelea hii mpaka kuanzisha msemo mafekero.com.
Wengi sana,kulikua na vituko vya kila aina. Kituko kimoja utakoshuhudia mbeleni kinaitwa mbioooo,yaani ikikaribia post ya milion uyashangaa zinaibuka ID ngeni ngeni uzi utakua fasta sana ili mradi kila mmoja anataka rekodi ya kuikamata post ya million.